Jeremiah 20:3
3
Siku ya pili Pashuri alipomwachia kutoka kwenye mkatale, Yeremia akamwambia, “
Bwana
hakukuita jina lako kuwa Pashuri bali Magor-Misabibu.
▼
▼
Magor-Misabibu maana yake hapa ni Vitisho pande zote.
Copyright information for
SwhNEN